kabila la wahadzabe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali chukueni hatua mapema Wahadzabe wanaharibiwa utamaduni na mabeberu

    KWEMA. Leo nilikuwa naperuzi mtandao wa Instagram kiukweli mwanzoni nilikuwa nafurahia kuona video za ndugu zetu wadazbe kiukweli UTAMADUNU wao unafurahisha pamoja jinsi wanavyoishi Kwa upendo nk Sasa umepotea karbu mwaka nikaanza kuona mbaka wazungu wanaenda kutengeneza content...
  2. Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini?

    Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini? Wahadzabe wameishi maisha mengi kama walivyoishi kwa maelfu ya miaka, wakitegemea ujuzi wao wa kina wa asili na desturi za jadi kuishi. Licha ya...
  3. Waziri wa Maliasili: Nani karuhusu jamii hii irekodiwe na wageni? Wanalipwa? Inatuchafua sana

    Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania. Ni video...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…