Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.
Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya.
Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa...
1. Mwanamke ndio mwenye nguvu watoto ni wa mama na watoto wanawaheshimu wajomba sio wewe baba.
2. Mwanamke wa kiluguru ukimuoa kila mwaka lazima arudi kwao kucheza ngoma na huko lazima akutane na ma X wake agegedwe.
3. Waluguru wanapenda kuishi pamoja ukoo mzima yale maisha ya kijima ya zama...
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:-
Mkeo anakupokea kwa furaha
Anakuvua koti
Anakuvua viatu na soksi
Anakuvua nguo zote
Anaenda kukuogesha
Anakuandalia chakula na juisi au kinywaji chenye mfanano huo
Anakupatia chakula ukipendacho
Anakuliwaza kwa stress...
Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto...
Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.