Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding...