Wanajeshi 3 wa Talibani wameuawa walipojaribu Kurusha ndege za black hawk zilizoachwa na Majeshi ya Marekani yalipoondoka nchini humo.
Mnamo mwezi Agosti 31 mwaka 2021 Majeshi ya Marekani yaliondoka nchini Afghanistan na kuacha vifaa vya kijeshi nyuma zikiwemo Helikopta ambazo ziliachwa zikiwa...
Msemaji wa Polisi kutoka Kabul, Kabul Khalid Zadran amesema watu 21 akiwemo Imamu wa Msikiti wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa baada kutokea Mlipuko mkubwa kwenye Msikiti uliokuwa na watu wengi.
Ni wiki moja tangu wapiganaji wa Islamic State (IS) kumuua kiongozi wa kidini anayeunga...
Baada ya kuuawa kwa aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaida, Ayman- Zawahiri katika Mji wa Kabul ambapo Jeshi la Marekani lilitumia ndege zisizo na rubani "Drone", Uongozi wa Taliban umetangaza kuwa haukuwa na taarifa za uwepo wa kiongozi huyo katika mji huo.
Tangazo hilo limetoka baada ya Rais...
Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka haraka Kabul wakati Wataliban waliukaribia mji huo mkuu.
Ghani amekanusha kuwa kulikuwa na mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea wakati huo ya makubaliano ya kuwachia madaraka kwa amani, kama walivyodai...
Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo
Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka mwezi Agosti, hali ambayo ilipelekea wengi waliotaka kuondoka Nchini humo kushindwa
Kwa mujibu wa UN...
Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume
Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameonya kuwa upo uwezekano mkubwa wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege wa Kabul akisema Makamanda wamemtaarifu linaweza kutokea mapema
Serikali ya Marekani imewataka Raia wake kuondoka eneo karibu na Uwanja wa Ndege. Zaidi ya watu 110,000 wakiwemo Raia wa...
Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo.
Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
Hawa wataliban wanaocheza na hivi vigari wanaendana kinyume kabisa na Taliban asili. Kwasababu Taliban hata kusikiliza mziki na kucheza ni marufuku unachinjwa. Hii Taliban ya sasa ni tofauti ndo maana wanataka diplomasia na mataifa mengine na China na Urusi imefungua mlango. Hii ni Taliban...
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi.
Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya...
Hali si hali huko Afghanistan [emoji1023] kwenye mji mkuu Kabul baada ya Taliban kutwaa udhibiti raia wamekimbilia Airport wakitaka kuihama nchi. Hali ni tete kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kimataifa.
Tutunze amani.
Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan.
Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita
130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan.
Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
Hali ya wasiwasi imeanza kutanda duniani kote baada ya waasi wa Afghanistan wenye MSIMAMO mkali wa kiislam kutwaa miji mikubwa ya nchi hiyo na sasa kungia kwenye baadhi ya viunga va mjimkuu wa nchi hiyo KABUL.
Sasa hivi marekani na nchi nyingine zinahaha na harakati za kuwahamisha wandiplomasi...
Tarehe 20 Julai, 2021, takribani roketi tatu zilitua karibu na ikulu ya rais wa Afghanistan huko Kabul wakati Rais Ashraf Ghani alipokuwa akisali sala ya Eid al-Adha.
Ingawa hakukuwa na majeruhi waliotokana na kutua kwa roketi hizo, kilichonifanya kuwa interested na tukio hili ni pale Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.