kabumbu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 100 others

    Video: Waziri wa Michezo akionyesha Vijana Namna ya kusakata kabumbu

    Ndio inapaswa iwe hivi, waziri wa kilimo ajue kupiga jembe haswa tena la mkono. Waziri wa TEHAMA ajue masuala ya IT na wizara zingine zote wawe wanafanyiwa majaribio na kupewa mitihani kabla hawajaingia kwenye wizara husika. Minister Of Sports Uganda.
  2. Kamanda Asiyechoka

    Picha: Waziri wa CCM akisakata kabumbu huku amevaa skafu shingoni.

  3. Objective football

    Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani Ngasa Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
  4. Hemedy Jr Junior

    Timothy Weah, mtoto wa Rais George Weah aliyejikita kusakata kabumbu na kutayarisha muziki

    Timothy Weah, huyu ni raia wa marekani ila kwa kuzaliwa ,ila baba ake ni raia wa Liberia, Huyu Timothy ni mtoto wa rais wa Liberia ila leo mtoto wake aliitetea Marekani katika kombe la Dunia2022. Timothy ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki (Producer) ila hii kazi ufanya kwa muda wake kozi ni...
Back
Top Bottom