kaburi la magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

    Dunia nzima inajua ni kwa kiasi gani Tundu Lisu alifurahia kifo cha Magufuli. Alitembea kwenye vyombo vya habari na kuonyesha furaha yake. Leo hii Tundu Lissu ni wa kutembelea kaburi la Magufuli? Labda tu ikiwa anataka kwenda kuomba msamaha. Hilo nalo halina maana yoyote Kwani marehemu...
  2. Mwande na Mndewa

    Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

    "Nilihapa sitafanya mkutano Chato ila nitakwenda hata waweke mapolisi nitakwenda Chato, nitakwenda kumuasha Magufuli amka Magufuli amka uone wanavyofanya. "Magufuli hakuiba tusimsingizie wala hakusaini huo mkataba, Magufuli mnajua mambo yake hakuwahi kuiba. "Umewahi kuona wapi CCM wanazunguka...
  3. MzeeKipusa

    Nilichokigundua kutoka kwenye Kaburi la Hayati Rais Magufuli

    Asalamaleku?! Tumsifu Yesu Kristu? Saitaa? MpiraWaChaSugu? Delagawiza? Haaaya itifaki imezingatiwa!!! Mwenzenu Mimi nilipata nafasi ya kwenda CHATO siku ya tarehe 17.03.2023 kwenye kumbukizi ya SHUJAA WETU na Jemedari wetu shupavu HAYATI. MHE.DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Msema ukweli ni...
Back
Top Bottom