kada ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  2. C

    Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

    Habari za weekend na poleni kwa majukumu. Hivi karibuni kada mbalimbali za afya zilikuwa katika usaili was written na oral vikisimamiwa na ofisi ya rais utumishi wa umma Kwanza niwape pongezi wote waliofanikiwa kushiriki katika saili hizi zote mbili. Kwenye Thread hii naomba mtujuze Oral...
  3. Nehemia Kilave

    Mtu wa Kada ya Afya hujaajiriwa au unapenda fanya kazi Geita basi tukutane hapa

    Just comment unachotaka kujua au private message tupeane details na nini cha kufanya. Muwe na siku njema.
  4. Jerry001

    Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

    Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo. UPDATES: Matokeo ya AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) yametoka, unaweza kupakua pdf no...
  5. Mwizukulu mgikuru

    SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

    Watu wanachapana mikono huko, yaani ni noma sana.
  6. R

    Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

    Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga. 1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi...
  7. G

    Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

    Leta hoja yako, ijikite kwenye 1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa. 2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi 3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili 4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili. 5. Hitimisho. Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe...
  8. kante mp2025

    Mabosi wa taasisi binafsi, ruhusuni vijana kada ya afya wakafanye intrerview

    Imebainika baadhi ya taasisi private zimeanza kutoa vitisho kwa vijana waliochaguliwa kwenda kufanya usahili katika kada mbalimbali za afya maboss hao wameanza kuwatisha vijana kuwa wakifanya usahili basi na vibarua vyao ndio vitaota nyasi. Acheni hii, ruhusuni vijana wakapambane kuna...
  9. N

    Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

    Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi! Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na...
  10. Rockefeller

    Msaada kubadili kituo cha usahili kada ya Afya

    Wakuu Habari, Naombeni msaada nawezaje kubadili kituo cha kufanyia usahili. Nimepangiwa interview lakini sitoweza kufika katika kituo hicho husika nataka nibadilishiwe kituo cha kufanyia huo usahili. Sekretarieti ya ajira leo hawashiki simu kwenye namba zao. Msaada wakubwa🙏
  11. Kidagaa kimemwozea

    Jiandae kwa usaili kada ya afya

  12. ChoiceVariable

    Rais Samia asambaza upendo, amwaga ajira zaidi ya 10,200. Kada ya afya wanemeeka zaidi

    Rais Samia S Hassan ameendelwa kuonesha kwamba yeye ndio suluhi ya matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii Kwa kuendelea kuyatatua Kwa Kasi kubwa. Kwa Sasa Ma jobless wamefikiwa na Upendo wa mama na moyo wa mshumaa ambapo Serikali yake imetangaza ajiza takribani 10,209 Kwa kada mbalimbali huku...
  13. N

    Kwenye hili la interveiw kwa kada ya afya naipongeza serikali iwe hivyo pia kwa kada ya elimu

    Habari wakuu? Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
  14. Riskytaker

    ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
  15. Kyambamasimbi

    Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
  16. B

    Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  17. Orketeemi

    Nafasi za ajira za mkataba kada ya afya mkoa wa Geita

    Tangazo linajieleza , mkataba wa mwaka mmoja. Changamkieni.
  18. CARDLESS

    Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine

    Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk. Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu. Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea mrundikano mkubwa wa wahitimu mbalimbali nyumbani. Katika hali kama hii ndipo suala la usaili...
  19. Jamii Opportunities

    Tangazo la nafasi za kazi 746 kwa Kada ya Afya (Limerudiwa kutangazwa)

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo...
  20. Dx and Rx

    Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi. Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
Back
Top Bottom