Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii
kemia oral 2800 wanahitajika 541
Bailojia oral 2200 wanahitajika 511
Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi.
Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto...
Hali imeanza kuwa tete baada ya sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma kuanza kuajiri walimu Kwa kuwafanyia usaili " mchujo".
Wasailiwa waonyesha Hali ya kukata tamaa na kuamua kulala kwenye chumba cha usaili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini;
picha zinaoneka wasailiwa wamelala Usaili unaendelea lakini hali sio nzuri wanaumia zaid ni wale waliomaliza miaka ya nyuma .
Any way tusubiri ripoti ya waziri.
Soma Pia: Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili
Toka sekretarieti ya ajira imesitisha kufanya interview kada ya ualimu mbona hamna kipya wala taarifa yeyote tuliyopewa it's like tupo gizani kisa.
Hatuna cha kuwafanya naombeni utumishi na serikali muwe na ubinadamu mbona afya mmewaajiri?
Katika muktadha wa ajira serikalini, suala la kujitolea linazua changamoto nyingi, hasa linapokuja suala la kutumika kama kigezo cha ajira za kudumu.
Ingawa ni muhimu kutambua mchango wa wanajitolea, kutumika kwa kigezo hiki kunaweza kufungua milango ya upendeleo wa kifamilia au urafiki...
Juzi kati ilikuwa inapita barua mtandaoni ya kutaarifu kuahirisshwa kwa usaili wa kada ya ualimu. Sa mtandaoni kwenye status ajira portal haipo haionekani taarifa hiyo.
Ukweli ukoje waungwana?
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.
Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
Nimeona mnawasakama sana walimu, mnawaona kama ni watu maskini lakini nikiangalia kada zingine za halmashauri wanakaa juu ya mawe tu hakuna utofauti wowote wa maisha kati ya walimu na watumishi wengine.
Mwalimu mwenye degree anaanza na D3 ambayo ni 805,000/= na maafsa wengine wa halmashauri...
Taarifa Muhimu kwa Wote walioomba kazi kada ya Ualimu zilizotangazwa na Sekretarieti ya Ajira, tafadhali soma kwa makini na fuata maelekezo!
Muwe na siku njema
HabariLeo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini?
Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri sababu haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo...
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe
Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
Maisha yamebadilika sana, watu wameongezeka sana, utandawazi nk.
Vyuo, vimeongezeka na wahitimu wameongezeka maradufu.
Hali ya Ajira ni changamoto sana kwa vijana hawa. Hali hii imepelekea mrundikano mkubwa wa wahitimu mbalimbali nyumbani.
Katika hali kama hii ndipo suala la usaili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.