kada

Alexis Yougouda Kada (born 29 November 1994) is a Cameroonian professional footballer who plays as a midfielder for Moroccan club Maghreb de Fés. In 2013, he made an international appearance for the Cameroon national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

    Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No Election? == Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma...
  2. Utumishi online Interview kwa kada ya umeme

    habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia...
  3. K

    Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

    Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
  4. G

    INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

    Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikiria kwenye angle hii kemia oral 2800 wanahitajika 541 Bailojia oral 2200 wanahitajika 511 Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
  5. G

    INTERVIEW KADA YA UALIMU BADO SIYO HAKI

    Binafsi sibishani na kuwafanyisha wahitimu usaili, ila nawewe fikilia kwenye angle hii kemia oral 2800 wanahitajika 541 Bailojia oral 2200 wanahitajika 511 Kwa CB aliyepita yote ni 1052 kati ya 5000, hesabu rahisi ni 1 ya watano yani hata ukienda oral uhakika wa kuajiriwa inabaki kuwa kudra za...
  6. A

    KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  7. Girlfriend polisi, Nasali na kufunga kupata mtumishi wa umma kada ya upolisi/mwanausalama

    Salaam wanajukwaa. Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu. Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa...
  8. M

    USAILI KADA YA UALIMU

    Habari wadau!!?? Naomba kwa yule aliyefanikiwa kufanya usaili wa Diploma Ualimu, anisaidie Dondoo za Usaili wenyewe ukoje. Content ni zipi ?
  9. Kuna kada watu wanatakiwa wasome alama za majira, wasisome wakilenga ajira za serikalini tena

    Walimu 200,000 kugombania nafasi 14,000 ni kiashiria hii sekta haihitaji kuzalisha Walimu tena kutoka vyuoni, walioko wanatosha na kupitiliza. Hata serikali ikiwa inaajiri walimu 10,000 kila mwaka(kitu ambacho hakiwezekani) itahitaji miaka 20 kuweza kuwachukua wote katika ajira.
  10. YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION USAILI KADA YA ELIMU , TYPE OF APTITUDE TEST USED TO FIND QUALIFED TEACHERS

    YALIYO NYUMA YA PANZIA APTITUDE TEST TEACHING POSITION FO MATERIALS Click the Link Below to Get the Complete Guide for Free in Your Email: 👇👇👇👇👇👇👇 https://docs.google.com/document/d/1foJQ2GghLGSldEkj3DjdTMNeHv4fbHST4Waw0yf6BdM/edit?usp=drivesdk JOIN OUR CHANEL 👇👇👇👇👇👇...
  11. Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  12. Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  13. Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  14. N

    Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals. IJUE KADA YA TIBA CHAKUKA NA LISHE [Dietetics]

    Understanding the Role of Clinical Dietitians in Patient Care Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals. Heri ya xmass & mwaka mpya! Introduction We value your dedication to providing comprehensive patient care. As clinical dietitians, We play a crucial role in supporting...
  15. Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama. Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL alivyotangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti hao makada wamejitokeza hadharani na kumshambulia...
  16. Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  17. Tetesi: Arusha: Kada wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa mtaa kwa kupitia chama hicho apotea

    Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa. Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi. Hata...
  18. J

    Tundu Lissu adai kada wa Chadema aliyeuawa Manyoni ni ndugu wa Mwanajeshi. Maelezo ya Polisi kwamba alifanya fujo sio ya kweli

    ..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi. ..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM. ..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
  19. LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

    Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha...
  20. Ukiona kijana yeyote ni kada mtiifu wa CCM jua baba yake alikuwa ana nafasi fulani ya uongozi

    Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…