Kilimanjaro International Airport (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) is an international airport located in Hai District, Kilimanjaro Region, Tanzania. The airport serves the cities of Arusha and Moshi. The airport handled 802,731 passengers in 2014 and mainly serves regional flights as well as a few long-haul services due to its importance as a leisure destination. It is the largest airport in northern Tanzania, by size and passenger volume.
Sintofahamu ya ununuzi wa majenereta katika Kampuni ya Uendeshaji na Uendelezwaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KADCO), imetatuliwa baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro kusimamisha ulipaji wa malipo ya jenereta.
Kadco iliagiza...
KADCO imefeli kutoa huduma, Mkurugenzi wake pamoja na kufeli kwake amepelekwa AICC kwenda kujaribu kama atafanikiwa kufanya Mapinduzi yoyote
Je, tutegemee jambo jipya kwa huyu mwanamama?Au ndio tuseme omba uzaliwe na bahati?
Soma:
- Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi...
Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) uliokuwa chini ya KADCO ambao sasa utakuwa chini ya TAA...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia Makabidhiano kati ya KADCO na TAA baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa ridhio la Uwanja wa Ndege...
๐ฅ๐๐ฉ๐๐๐๐๐: ๐๐ผ๐ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ป๐ฒ๐ฑ ๐ฎ ๐ฐ๐ฟ๐ฎ๐๐ ๐ฑ๐ฒ๐ฎ๐น ๐๐ถ๐๐ต ๐ฎ ๐บ๐๐๐๐ฒ๐ฟ๐ ๐ฐ๐ผ๐บ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ ๐๐ผ ๐ผ๐ฝ๐ฒ๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ๐๐ต๐ฒ ๐ฐ๐ผ๐๐ป๐๐ฟ๐'๐ ๐บ๐ฎ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐๐ฟ๐ถ๐๐ ๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ฝ๐ผ๐ฟ๐
The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI?
"Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: KADCO ONGEZENI UBUNIFU ILI KUVUTIA MASHIRIKA YA UWEKEZAJI
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile ameutaka Uongozi wa Kampuni ya Uendeshwaji na Uendelezwaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro (KADCO) ambao ndiyo waendeshaji wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kilimanjaro...
Wadau wa utalii wamejitahidi sana kutetea hoja ya matumizi ya raslimali za nchi.
Hoja zangu ni hivi, inatia moyo kuona wananchi wako macho juu ya rasilimali za Taifa tofauti na huko nyuma.
1. Kila mtanzania anajua kuwa baadhi ya viongozi walishawahi jihusisha na usafirishaji wa wanyama hasa...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo.
Spika Dkt. Tulia amesema โWanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100%
Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea zote za KIA lakini kuna baadhi ya Watu jimboni wanawafanganya Wananchi kuhusu Kadco.
Spika Tulia...