kadhia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marcy

    Je umeshawahi kukumbana na kadhia hii kutoka kwa watu?

    Ni pale mpo katika kundi kutekeleza kazi fulani Katika lile kundi wapo watakao kaa pembeni kuangalia hawagusi chochote, Wapo watakao papasa tu ili mradi waonekane nao walishiriki kwenye hiyo kazi Na yupo mhanga atakae jitolea kuitekeleza ile kazi kikamilifu. Endapo kazi itatiki vyema basi sifa...
  2. Father of All

    Kadhia ya utekaji kwanini Serikali imeshindwa?

    Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao? Je, hawa watekaji wamegeuka serikali...
  3. T

    Ni lini Serikali itaondoa/ itamaliza kadhia na mateso ya usafiri wa daladala kwenye majiji makubwa?

    Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida. Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na jioni wananchi hupata mateso makubwa sana wanapohitaji kusafiri Kwa kutumia daladala. Licha ya kuwa...
  4. Mohamed Said

    Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

    Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili. Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
  5. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Serikali iwafute machozi wananchi dhidi ya kadhia ya Tembo nchini

    Chama cha ACT Wazalendo hakiliridhishwi na kasi ya Serikali katika kushughulikia matukio ya tembo kuvamia makazi, kuharibu mali (mazao) na kutishia usalama wa wananchi nchini. Tangu mwaka 2021 vilio vya wananchi wanaoishi pembezoni au maeneo yanayozunguka hifadhi au mbuga za wanyama kama vile...
  6. K

    Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

    Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana. Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
  7. sifi leo

    RPC Kilimanjaro, hawa wanatumwa na nani? Epusha kadhia hii

    Mh Afande mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro natumain umzima wa Afya. Baada ya salamu niende kwenye MADA. Barabara ya kutoka Njiapanda kuja mjini ni barabara iliyojaa Trafiki wengi sana kwa hili nakupongeza maana pia ni barabara inayotumiwa na wahalifu wengi hasa wa biashara za magendo. Sikitiko kuna...
  8. Replica

    Naibu Nishati: Tumelazimika kutafuta wakandarasi wa bei kubwa lakini kwa uharaka. Aahidi kadhia ya umeme kukoma Januari

    Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa limekwisha. Naibu waziri amesema wamelazimia kuwapata wakandarasi wenye gharama kubwa kurekebisha...
  9. B

    Prof. Shivji na maoni yake kuhusu kadhia ya Law School

    Prof. Shivji ametoa maoni yake kuhusu kadhia ya Law School. Anasema Shivji: “Pasipo mijadala au ubunifu huwezi kuendeleza fikra, na hii inakwenda moja kwa moja kuathiri usomaji na ufundishaji.” Prof. Shivji anafahamika kwa misimamo yake. Anachozungumzia hapo ni umuhimu wa critical thinking...
  10. B

    Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

    Tatizo la Law School si dogo ambalo ati kila Tom, Dick au Harry anaweza kuwa na ufumbuzi au ushauri. Kwa sampuli hii: 1. Profesa Cyriacus Binamungu (Mzumbe): anasema kuna shida kwa walimu katika taasisi hiyo (LST). “Wanafunzi wanaandaliwa vizuri (vyuoni) isipokuwa kutakuwa na shida LST...
  11. B

    Tume ya Kuchunguza kadhia ya Law School inapaswa kuwa huru

    Ni hatua njema kuwa umeonekana umuhimu wa uchunguzi kuhusiana na kadhia ya Law School of Tanzania. Dk Mwakyembe kuongoza uchunguzi malalamiko mtihani Uanasheria "Hata hivyo kunahitajika tume huru si tume tu kwa jina." Ikumbukwe Dr. Mwakyembe amekuwepo sana UDSM Faculty of Law, ambao wao (eti)...
  12. Raphael Thedomiri

    Kadhia za wanyamapori kuvamia makazi na mazao, nini Serikali ifanye?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Niende moja kwa moja kwenye majadiliano ninayo yaleta mbele yenu. Sasa imekuwa ni kama kawaida kila iitwapo leo katika vyombo vya habari kuna ripotiwa majanga chungu nzima ya madhila ya wanyamapori wanayofanya katika jamii, tembo wanaharibu mazao, juzi kati tuu...
  13. Memento

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  14. B

    Tetesi: Wale Askari waliomfanyia fujo barabarani Raia, wavuna walichopanda

    Kumekucha. Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta: Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika. Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali. Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka...
  15. B

    Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe

    Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki. Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi? Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii. --------------------- Ikumbukwe:
  16. B

    Wahusika kwenye kadhia ya Mbowe Wawajibishwe

    Chereko chereko zinapoendelea kufuatia kuachiwa huru Mh. Freeman Mbowe, kadhia hii isiishe bila fidia wala watu fulani fulani kuwajibika au hata kuwajibishwa. Kwenye kadhia hii kuna watu wamepotezwa, watu wameteswa, utaratibu wa sheria umekiukwa, watu wamedhulumiwa, nk. Yote haya ikiwa ni...
  17. 6

    Inadaiwa abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini kwa siku kadhaa wakisubiri usafiri

    Kuna abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini tangu Jumatatu hadi leo wakisubiri usafiri na hakuna sababu za msingi zinazotolewa, watu wanaambiwa wasubiri. Sasa wasubiri hadi lini na mazingira ya kule ninyi mnayajua? Watu wana watoto wachanga kule, wahusika mko wapi...
  18. VAPS

    Wizara ya Ardhi, undeni timu ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii

    Hongera Mh. Mabula, na Mh. Ridhiwani Lipo tatizo la sheria mortgage dhamana kuuzwa na wadau wakopeshaji kwa Bei za hasara na kutokujali kutambuliwa juhudi za awali mdaiwa alivyopambana. Hii inapelekea kuongeza umaskini na kudumaza sector ya biashara. Nashauri undeni team ndogo watalaamu iwape...
  19. B

    Kadhia ya Umeme: Waongo Wazoefu Waachie Ngazi

    Mada mbili hizi zinajielekeza wazi nini kifanyike sasa kwa maslahi ya taifa: #1: Mheshimiwa Majaliwa juzi alituhakikishia upo umeme wa kutosha: #2: Tanesco leo wanatutaarifu kuwa umeme hautoshi: Ya nini kumung'unya maneno? Pana mtu hapa amejipambanua kuwa mwongo mzoefu. Haonyeshi hata...
  20. M

    SoC01 Namna bora ya Waajiri kuwakomboa Watumishi wao na kadhia ya madeni katika Taasisi za Kifedha

    Utangulizi Kwa muda mrefu kumekuwapo na kilio cha watumishi wa umma na taasisi za binafsi wakilalamikia masharti magumu wanayokumbana nayo katika taasisi za kifedha nchini ikiwemo riba kubwa za mikopo wanayoomba kwenye taasis hizo. Mabenki na taasisi hizo humvutia mkopaji kwa kumuwekea...
Back
Top Bottom