Hii soka inaelekea wapi? TFF imekiri wazi kuwa ile kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo haikuwa sahihi, lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ya maamuzi mabovu ya mwamuzi. Hivi hii inaleta taswira gani?
Mwamuzi alikuwa na makosa mengi, hasa kwa upande wa Namungo. Alikuwa makini...
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
Mwamba kaungana na hawaapa
1. Mark Hughes
November 11,1987 Jamaa alicheza mechi ya kufuzu euro kati ya Wales vs Czechoslovakia na baadae akasafiri had German na kucheza for 30 min kwenye Dfb pokal na Bayern Munich
2. Den s lerby
Mwamba 1985 aliingia uwanja German ikicheza world cup qualifier...
"This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began.
"I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
Mwosha huoshwa sasa tutaelewana tu
Nassor Saadun jana alicheza mchezo wa Dar Derby na kumsababaishia kadi nyekundu beki wa Yanga Ibrahim Bacca na Yanga kucheza pungufu kwa katika zaidi ya 80 hapo jana.
Saadun leo amecheza tena mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya CHAN na kaingua kipindi cha...
Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi
Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
ufafanuzi tafadhali
Leo hii Metacha anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha?
Refareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia.
Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli...
Mchezaji wa Timu A akioneshwa Kadi Nyekundu ya moja kwa moja wakati wa upigaji wa penati kwenye mechi ya kutafuta mshindi, utaratibu unatakiwa kufuatwa baada ya hapo ni mchezaji wa Timu B mmoja naye anatakiwa kutoka.
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) linaweka wazi kuwa Mchezaji wa Timu B...
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Kuongezeka kwa kadi nyekundu katika raundi tano za mwanzo wa ligi ni jambo la kusikitisha. Hali hii imekuwepo kwa sababu inachochewa sana na vyombo vya habari.
Katika hali isiyo ya kawaida, mwaka jana, timu ya prisons walikuwa wakiruka mithili wanacheza kung-fu hasa walipokutana na Simba.Hali...
Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.