kadi ya nmb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mussa rapper

    Kupata kadi ya NMB kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani?

    Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi? Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni j5 ya week iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani leo...
Back
Top Bottom