MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewaonya baadhi ya wanachama wake wanaojihusisha na udanganyifu hususan wakati wa kuongeza wategemezi kwa kuwasilisha nyaraka za kughushi.
Onyo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uanachama Bw. Christopher Mapunda wakati akizungumza na Yaliyojiri NHIF ambapo...
Inakuwaje napokea taarifa za kutumika kwa kadi yangu ya bima ya afya wakati sijaenda hospital na kadi ninayo?
Tarehe 11 mwezi huu nimeenda hospital X nimepatiwa huduma na nimepata notification msg kuwa kadi yangu imetumika katika hospitali hiyo, nimechukua kadi yangu nimeondoka nayo.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.