kadi za chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Wapi naweza kupata Kadi za CHADEMA?

    Nataka kujiunga na Chama cha Demokrasia na Makamanda. Kadi zinapatikana wapi?
  2. J

    Enzi za Mtei na Bob Makani kupata kadi ya CHADEMA ilikuwa lazima uombe kwa barua, Mbowe akamuiga Mrema kadi za papo kwa papo!

    Ndivyo ilivyokuwa KADI ya Chadema ilithaminiwa sana na kuheshimiwa 2005 alipoingia Mbowe na wakati anagombea Urais ndio zikaanza KADI za Papo Kwa Hapo kama za Mrema 1995 Ndio hiyo zoa zoa ikawaingiza Chamani akina Mchungaji Msigwa na wale wanafanana naye 😄😄 Mlale Unono 😄
  3. J

    Pre GE2025 Nilijua tu Mch. Msigwa ataiingiza chaka CCM, sasa CHADEMA na kadi za kienyeji za karatasi wapi na wapi? Nchimbi uwe makini

    Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji. Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni...
  4. Francis12

    Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka

    Morogoro. Chadema imetangaza kuwa Januari itaanza kutumia kadi mpya za uanachama za kielektroniki, zitakazoiwezesha kukusanya Sh13.9 bilioni kwa mwaka na kupunguza utegemezi wa ruzuku ya Serikali. Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa ndani...
Back
Top Bottom