kadi za kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pata kadi za kidigitali za Harusi/send-off/michango/biashara

    Habari zenu waheshimiwa! Tunatoa huduma mbali mbali za kidigitali ikiwemo kadi za mialiko kama vile za harusi, send off, michango, graduation, business cards, nk. Achana na yale mambo ya kupanda dalala, usafiri wako, au kutuma boda boda kupeleka kadi umbali mrefu, tumia kadi za kidigitali...
  2. K

    Wakazi wa Dar wamelalamikia bei ya Sh5,000 inayotozwa kununua kadi janja ya Mwendokasi

    Joseph Zablon, Dar es Salaam, Baadhi ya wakazi wa Jijini Dar es Salaam wamelalamikia bei ya Sh5,000 inayotozwa kununua kadi janja ya Mwendokasi, iliyozinduliwa jana na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa. Wakizungumza kwa nyakati tofauti mara baada ya...
  3. Njombe: Mtoto Mmoja kupewa Baba Wanne, Mfumo wa Kutoa Kadi Kidigitali utapunguza hii, Waziri Mama Gwajima naomba utazame hili

    My take: Ni ajabu na ni kweli mtoto mmoja kuwa na Wababa zaidi ya Mmoja. Wenyewe wanasema Wanawake ambao hufanya hivi lengo lao ni kupata Maokoto kutoka kwa Wababa wengi ilhali anajua mhusika ni mmoja Na hii ni kwasababu mtu ukishapewa kadi unajua Mtoto ni wako Njia moja ya kuepusha haya huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…