Na WAF – Dodoma
Serikali imeanza kusambaza vitabu vya kliniki vya wajawazito na watoto nchini ambavyo vitasambazwa katika mikoa 26 nchi nzima.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa huduma za Mama na mtoto wizara ya afya Dkt. Ahmad Makuwani Leo Juni 21, 2024 Katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili...