Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji.
Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka
Peter ni mwanaharakati kutoka Matamba Makete aliyepata Ujanja Bondeni...
Morogoro. Chadema imetangaza kuwa Januari itaanza kutumia kadi mpya za uanachama za kielektroniki, zitakazoiwezesha kukusanya Sh13.9 bilioni kwa mwaka na kupunguza utegemezi wa ruzuku ya Serikali.
Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.