kadogosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOHNGERVAS

    Tujikumbushe Kauli ya Kadogosa Kuhusu SGR yake na umeme

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina mkondo wa umeme unaojitegemea. Hayo yamesemwa leo Februari 26, 2024 na Mkurugenzi huyo alipokuwa...
  2. MAKANGEMBUZI

    Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  3. Hismastersvoice

    Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

    Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai. Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo...
  4. Hismastersvoice

    Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  5. Hismastersvoice

    Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

    Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni. Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine. Tanzania Railways Corp
  6. chiembe

    Kadogosa, bila shaka kimkataba, wakorea waliotengeneza treni yetu wanapaswa kuwa wanatembea nayo kwa walau miaka mitatu ili kubaini mapungufu

    Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake. Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
  7. JanguKamaJangu

    Kadogosa: Changamoto ya Vivuko kwenye reli ya SGR ipo, vitajengwa vingine hivi karibuni

    Kufuatia uwepo wa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao hasa wanapakana na maeneo ambapo inapita Reli ya SGR kudai uwepo wa umbali katika Vivuko vya kuvukia baina ya kimoja na kingine, Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amekili uwepo wa changamoto hiyo na...
  8. Roving Journalist

    Kadogosa: SGR inachangiza uwekezaji, viwanda zaidi ya 250 vinatarajiwa kujengwa eneo la Kwala, Kibaha

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema viwanda zaidi ya 250 vinatarajiwa kujengwa eneo la Kwala, wilayani Kibaha Mkoani Pwani, ambapo amedai hatua hiyo inachangizwa na uwepo wa Treini ya kisasa ya (SGR) inayopita karibu na eneo hilo. Kadogosa amesema kuwa...
  9. J

    Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

    Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃 ========= Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema bei za treni za mchongoko zitakuwa Tsh. 100,000 hadi...
  10. Mcheza Piano

    Pre GE2025 CCM imsimamishe ndugu Masanja Kadogosa kugombea urais mwakani (2025)

    Imefika wakati kama taifa tuchague watu wenye maono ambao wanaweza kutumia rasilimali za nchi yetu kuijenga nchi yetu. Hakuna sababu yoyote ya msingi inayozuia Tanzania kuwa kwenye orodha ya nchi tajiri duniani. Kinacho kosekana kwetu ni viongozi wenye maono na wazalendo. Baada ya kumchunguza...
  11. Tanzania Railways Corp

    Treni Mchongoko yawasili nchini

    Seti ya kwanza ya EMU Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
Back
Top Bottom