kafara

Fidyah (Arabic: الفدية‎) and Kaffara (Arabic: كفارة‎) are religious donations made in Islam when a fast (notably in Ramadan) is missed or broken. The donations can be of food, or money, and it is used to feed those in need. They are mentioned in the Qur'an. Some organizations have online Fidyah and Kaffara options.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kifalsafa "kimantiki" Yesu hakutolewa Kafara. Dunia imedanganywa

    KIFALSAFA "KIMANTIKI" YESU HAKUTOLEWA KAFARA. DUNIA IMEDANGANYWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Angalizo: Mada hii inaweza isiwafae watu wote hasa watu wale wenye Itikadi na hisia Kali za kidini. Hivyo kama Taikon Master kwa kulijua Hilo, nashauri wewe kama ni wale wenye Itikadi Kali au...
  2. Mi mi

    Kazi imeanza Zelensky anataka kutolewa kafara

    Hawa manyang'au wa U.S naona wameshamtumia Zelensky kama pampas sasa wanataka kumtupa. Visingizio vimeanza za kuwinda kuondoshwa Huyu Musk mtandao wake huu amekuwa akiutumia kuchochea tawala kadhaa kuondoshwa Kazi kaianzisha Trump chawa Musk anaunga tela...
  3. G

    Bora kumtoa kafara mzazi ama mtoto ili kuokoa wengine ktk ukoo kutoka kwenye lindi la umaskini

    Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo. Ni Bora ukaamua kumtoa kafara mzazi mmojawapo ili awe msukule wa kuleta utajiri utakaotumika...
  4. Victor Mlaki

    Wagawanye uwatawale: Njia iliyotumika Rais Paul Kagame anataka kuwekwa kama sadaka ya kafara.

    Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao. Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa na vikosi vya uhalifu zaidi ya 100 je tuseme vikosi hivi vyote vinadhaminiwa na Rwanda?..Inasemekana...
  5. Yoda

    Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

    Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa). Unaweza kuonyeshwa...
  6. Hance Mtanashati

    Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

    Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
  7. Vichekesho

    Kafara ya imegoma tena. Ni huzuni kubwa

    Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1. Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji. Usiku mwema. ====== Updates: Jini limeamua mchezo.
  8. Mhafidhina07

    Mwanzo endelevu wa kupigania uhuru wa Tanzania kutoka kwa Mkoloni Mweusi, damu ni ishara ya Kafara ya Ushindi Wengine wasichoke kujitoa

    Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao. Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
  9. GENTAMYCINE

    Kila KAFARA limekataa na tayari hali ya wasiwasi imeshaanza Kutanda Kambini Indian Ocean

    Na sharti walipopewa kama sehemu ya Kujaribu tena Nyota ili angalau wapone na Kipigo ni kuanza na 'Kufuli la Morogoro' Lilorogwa Msimu mzima, ila wakimpanga tu ambaye ndiyo Wanamuani 'Kufuli Mali' ambaye kwa tarehe ya leo Nyota yake ina Nuksi basi wajiandae kwa Kipigo Kikali ambacho kila Mtu...
  10. GENTAMYCINE

    Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

    Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
  11. M

    Ni fikra za umaskini zinazofanya watu wafikiri kila aliyefanikiwa ni freemason ama atoa kafara au chuki dhidi ya waliofanikiwa?

    Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata sababu ya msingi. Nimeshuhudia na kusikia hadithi za watu wengi waliofanikiwa sehemu ninazoishi...
  12. S

    Hongera kwa machawa. Walaumiwe waliojigeuza kondoo wa kafara

    Taifa letu soon litageuka kuwa si mahala salama pa kuishi. Uhalifu utaongezeka kama kule Haiti kwasababu watu wengi watakata tamaa ya maisha. Hivi Sasa kila kitu kinaenda hovyo hovyo lakini waliopewa dhamana ya uongozi kwa kuwa wao wanakula na kushiba wanachukulia poa tu. Idadi kubwa ya watu...
  13. Majok majok

    Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  14. Unique Flower

    Kwanini wanaume mnawatoa wanawake wenu kafara?

    Wanaume hivi kwa wale wanatoa wanawake kafara wanaonaje wenzio nakwanini mnatoa watu kafara? Rafiki yangu alikuwa anatolewa na mchumba wake kafara isingekuwa maombi kweli leo hii angeenda na kichanga tumboni ila kichanga kilikufa. Mama akabaki kwa bahati nzuri. Wanaume muwe na roho basi kuua...
  15. chiembe

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

    Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari. Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
  16. GENTAMYCINE

    Mganga anasema ili Wawe Mabingwa wakubali Kiongozi Wao Mmoja au Mtu wao maarufu Afe kama Kafara

    Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda. Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa...
  17. O

    Edo Kumwembe: Onyango mbuzi wa kafara, Bacca anachafua hali ya hewa

    NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca. Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
  18. M

    Onyango, Mkude, Nyoni Wasiwe mbuzi wa kafara, uwezo wa Simba ndio umeishia hapo

    Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo! Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
  19. technically

    Juma Mgunda atakuwa mbuzi wa kafara

    Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa. Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu. Juma Mgunda...
  20. BARD AI

    Geita: Mahakama yawaachia huru waliodaiwa kumtoa kafara mtoto ili wachimbe Dhahabu

    Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Washtakiwa hao ni Ngeke Lunemhya, Mwajuma Petro, Ngeke Lunemhya na Maria Faida ambao wote ni ndugu. Watuhumiwa hao...
Back
Top Bottom