Katika kile kinachoonekana Serikali ya sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeamua kuondoa kabisa utegemezi na matumizi ya Kodi za walalahoi kuendeshea Viwanja vya ndege na ndege kwani badala ya miundombinu hiyo kuleta faida kwa Serikali na kuwahudumia Watanzania kinyume chake inatumia Kodi...