kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakazi wa Kagera walalamikia ongezeko la nauli za MV Victoria

    Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera, wamelalamikia ongezeko la Tsh. 2445 hadi Tsh. 10,000 la nauli za Meli ya New MV. Victoria kuanzia leo Julai 4 kwa mujibu wa mwongozo wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) Inaelezwa kuwa nauli za daraja uchumi iliyokuwa TSh.16, 000 kwa mtu mzima imekuwa...
  2. Waziri Mkenda na RC Kagera, kwanini watoto wanarudishwa majumbani kwa mzazi kushindwa kulipa mchango? Je, elimu bure ni kuhadaa wananchi?

    Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni. Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
  3. Wabunge wote wa Kagera hakuna aliyetoa hoja za Ujenzi wa stendi, soko kuu wala fidia kwa wahanga wa tetemeko

    Wabunge wote wa Kagera hakuna aliyetoa hoja za Ujenzi wa syend, soko kuu wala fidia kwa wahanga wa tetemeko wote wameishia kushukuru kama kawaida yao lakini pia uongozi wa mkoa uongozi wa mkoa walimzui Rais kusimama kusalimia wana Bukoba waliokuwa wanamsubiri stend alipita kasi ali...
  4. Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

    Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi zilizosajiliwa nchini zifate. ====== Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa...
  5. K

    Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

    Inasikitisha kujua hili la kwamba Kagera ni mkoa masikini kuliko yote Tanzania. 1. Ina wasomi wengi sana 2. Ardhi nzuri 3. Ziwa kubwa 4. Mipaka ya nchi yetu mingi Pamoja ya yote hayo ni swali ya kujiuliza wenyewe watu wa huko bila kuweka lawama kwa serikali. Ukiangalia vizuri Kagera na...
  6. Kagera: Rais Samia atembelea Kiwanda cha Sukari Kagera, azindua mradi wa maji Kyaka - Bunazi, Missenyi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022 RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani Ni kweli Jeshi la Magereza linamiliki ardhi eneo...
  7. Rais Samia atategua kitendawili kilichotegwa na Hayati Magufuli mkoani Kagera?

    KAGERA TUNAMPOKEA RAIS TUKIWA NA MATUMAINI NA FARAJA. Miaka 6 imepita tangu tulipopatwa na janga kubwa na la kihistoria katika Mkoa wetu TETEMEKO LA ARDHI wengi mnakumbuka tulipopatwa na janga hilo RAIS alimtuma Waziri mkuu baada ya mwaka mmoja Rais alikuja Kagera akatwambia serkali yake...
  8. S

    Wana-Kagera, bila kubadilika na kukubali kuwa Kagera ni ya Watanzania wote, mtabaki kama mlivyo

    Nasema hivyo kwa sababu makao makuu ya mkoa na wilaya zake yanasikitisha! Kila mradi wa serkali bukoba lazima uwe na ubishani na ujuaji unaosababisha kuchelewesha mradi! mfano ujenzi wa stendi mpya hadi sasa bado haujaanza ukiulizia sababu za msingi hamna! Ukabila na ubaguzi kwa wageni...
  9. Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

    Wakuu, Kuna hawa Waarabu wa Katoro, tunaomba Serikali iingilie kati. Wamezidi kuzalisha dada zetu na kuwstelekeza. Ukienda maeneo ya Kanazi, Ibwera, Izimbya, mto Ngono nk, unakutana na Machotara wa kiarabu kibao na vitoto vingi vya kipemba. Sema Katoro napo Uislam ulienea sana, hivyo wale...
  10. Assistant Surveyor at TANROADS Kagera

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in conducting Axle Load Control...
  11. Office Secretary at TANROADS Kagera

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in conducting Axle Load Control...
  12. Materials Technician at TANROADS Kagera

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in conducting Axle Load Control...
  13. Kagera: WanaCHADEMA 7 waliokuwa mahabusu kisa kesi za Uchaguzi waachiwa HURU

    Wanachama saba wa CHADEMA wameachiwa Huru baada ya kusota Rumande Kwa Muda mrefu nao ni Mutembei Mugyabuso Kalokora John Martin Katto Mujwahuzi Katabani Ngara Jimmy Lindo Kendrik Andrew Bukoba mjini Amatus Lweyemamu Asanteni
  14. M

    Yanga SC jitahidini na famyeni kila fitna ili Simba SC leo isimfunge Kagera Sugar FC 'kwa Mkapa' kwani ikishinda tu Ubingwa mnaukosa na hamtoamini

    Kwa Mkakati ulioko Simba SC anaweza akasababisha Maafa Yanga SC kwa Kuukosa Ubingwa waliodhania ni Wao. Mwambieni Mayele amlipe Mganga wake.
  15. Mtunza Ghala, Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd (Nafasi 1)

    Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba, inaendesha shughuli zake chini ya Sheria ya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, Ili kutekeleza kwa ufanisi...
  16. Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd (Nafasi 1)

    Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba, inaendesha shughuli zake chini ya Sheria ya Ushirika namba 6 ya mwaka 2013, Ili kutekeleza kwa ufanisi...
  17. B

    Mkoa wa Arusha na Kagera wana Wabunge wa Majimbo Bungeni?

    Kwanza niseme bunge la sasa laweza vunja rekodi ya utoro, viti asilimia kubwa vipo empty. Lakini Mkoa wa Arusha umekuwa ukituma watu wenye tija kwa nchi Bungeni, leo hii hakuna Mbunge hata mmoja anayezungumza Bungeni ni kama hakuna wawakilishi Kagera tofauti na Mbunge wa viti maalumu wengine...
  18. Wankyo Nyigesa, RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

    Leo imefanyika hafla ya kumuaga aliyekuwa RPC mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa na kumkaribisha RPC Mpya wa Pwani Pius Lutumo. Wankyo Nyigesa sasa ni RPC wa mkoa wa Kagera ambae amesema anajiandaa kuwa IGP na anaamini maombi yake Amiri Jeshi mkuu ameyasikia. Amedai alijiandaa kuwa DCI na kamishna...
  19. SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

    Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera. Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha...
  20. H

    Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

    Wanasimba wote msiwe na wasiwasi leo huyu kagera sugar hasira zetu zote tunaenda kummalizia yeye, kosa lao Uwanja wao kuwa mzuri ndio kitachowacost
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…