kagera

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbors Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometer.On September 10th 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on April 11, 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa vita ya Tanzania na Uganda?

    Kwanini Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa Vita ya Tanzania na Uganda..?
  2. Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?" Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
  3. T

    Uvivu wa kutisha, uchawi (kulaguza), na vijana kuamini kwenye quick gain ni baadhi ya sababu zilizorudisha nyuma maendeleo ya Mkoa wa Kagera

    1. UTANGULIZI Najua watani wangu wa Kagera, akina nshomile mtakuja juu na hawatapenda hili andiko, hasa kwa nini ninawaandama?. Jamani huu ni mwendelezo wa andiko langu la kwanza kuhusu kagera lisemalo "Mkoa uliong'aa (the shiny BK) leo umekuwa mkoa giza (the dark Bukoba) kwenye kila sekta ya...
  4. Gari dogo la kukodi mkoani Kagera na mwanamke wa kupiga naye story za kimkakati

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani . Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya kufanya michakato yangu ,tafadhali naomba mnitafute PM ,kwa kuandika namba yenu Kama kichwa Cha...
  5. Unapowaambia wakazi wa mkoa wa Kagera kuhusu gari wanachowaza kwanza

    Corona Premio the number one choice ya kina Rweyemamu wa Muleba, Muganyizi wa Karagwe, Kalikawe wa Kiziba. Tasipota..
  6. LGE2024 Kagera: RC Mwassa atembea na visheti kuhamasisha Uchaguzi Serikali za Mitaa. Hii ni Rushwa!

    Wakuu, Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini? === Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezunguka kwenye baadhi ya vijiwe vya Kahawa katika manispaa ya Bukoba...
  7. Kongole sana Muleba Ibin Kagera kwa kujisimamia vizuri

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati tunasoma shule kuna watu walikuwa hawana juhudi za kuzingatia masomo na wengi wao walikuwa ni watoro hata darasani. Walikuwa na nidhamu mbaya kwa walimu wao. Lakini ilipofika kipindi cha matokeo wote walikuwa makini kufuatilia matokeo yao. Na walivyopata matokeo...
  8. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  9. Sikuchagua Mkoa wa Kagera lakini wamenichagua Kagera ndiko nitafanya Oral interview Nauli 100,000

    Habari Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu Mimi. Halafu hakuna uhakika kama nitapata au vipi. Nimekata tamaa
  10. Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

    Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya benki. Matapeli hao wanadaiwa kumhadaa mwalimu huyo kwa kumwambia wanamtengenezea simu kisha kumuibia...
  11. Kengold wangekamia SBS, KMC au Kagera Sugar kama walivyomkamia Yanga wangevuna walau alama moja

    Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu vingine hakika mngevuna alama nyingi Sifahamu huwa wanafundishwa nini huko kambini, Ila laiti kama...
  12. A

    DOKEZO TAKUKURU, TAMISEMI mje Karagwe - Kagera, Walimu Wakuu na Maafisa Elimu (Karagwe) wanaumiza wanaopewa tenda

    Hapa Halmashauri ya Wilaya Karagwe, Mkoa wa Kagera kuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa uadilifu na uwajibikaji unaofanywa hasa na Walimu Wakuu wa Shule pamoja na Ma-Afisa Elimu katika ngazi ya Shule za Msingi. Inapotokea kuna tenda Mkandarasi anapata inayohusu Shule fulani, ili uweze kupata...
  13. Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  14. TANZIA Benjamini Rwegasira amefariki na kuzikwa Mkoani Kagera

    Wanabodi. Mwandishi Mkongwe wa TBC Benjamini Rwegasira aliyekuwa katika kituo cha Bukoba na baadaye kuungua ugonjwa wa kiharusi kwa kipindi kirefu amefaiki dunia na kuzikwa katika kata ya Gera wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera. ===== Mazishi ya Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Shirika la...
  15. Pre GE2025 Mbunge Ndaisaba achangiwa fedha za Kuchukua fomu ya Ubunge na Wanawake 400 wa Kabanga, Ngara, Kagera

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangiwa fedha za kuchukua fomu ya ubunge na wanawake zaidi ya 400 wa kabanga. Ngara; 02.09.2024 Wanawake zaidi ya 400 wa Mji mdogo wa Kabanga waliandaa Hafla ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuiwakilisha...
  16. M

    Nipo Bukoka mjini, nafikaje kiwanda Cha Kagera sugar?

    Habar wakuu Niko Bukoba mjini nataka kufika kiwandani Kagera sugar nipeni muongozo ...maana Kuna ishu yakaajira naenda fukuzia uko kiwandani
  17. Tetesi: Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kufunguliwa kesi kwa watu wanaotekwa na kupotea na njia ya jeshi la polisi kujisafisha

    Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi. Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa. PIA SOMA - Angekuwa...
  18. Tafadhali Mzize asianzishwe kesho mechi na Kagera Sugar

    Speed ya Mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
  19. Alternate History: Idd Amin ashinda vita ya Kagera ya 1978/79. Mambo yangekuwaje?

    Binafsi, nimekuwa nikijiuliza, Mfano uvamizi ule wa Idd Amin Tanzania ungeisha kwa Idd Amin kuvishinda vikosi vya Tanzania, hali ingekuwaje? Leo 2024, tungekuwa na nchi ya Namna gani kisiasa, kijamii na kiuchumi? Tungekuwa na kanda ya ziwa sehemu ya Uganda? Au Tanzania yote ingekuwa ni sehemu...
  20. A

    Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…