Jinai na jinai tu bila kujali imefanywa na nani maana hakuna alie juu ya sheria.
Kwa msingi huo,kama tumeamua kuadhibu watumishi hawa zaidi ya 9000 kwa kosa la kutumia vyeti feki,ni kwanini mafisadi wa EPA, RICHMOND ,KAGODA,MEREMETA,KIVUKO KIBOVU,n.k nao wasiwajibishwe japo kwa kutakiwa...
Wadau naomba mnipe nyepesi nyepesi za Igunga, Mzee wa Richmond na Kagoda Fisadi Rostam anaendeleaje? Upinzani tunapeta?
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa baada ya watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani, wajiandae kwa mabomu yanayotegemewa kurushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.