Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba.
Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP amedharau mahakama kwa kukosa kufika mbele yake mara 7 kueleza kuhusu maisha ya Wakenya watatu wanaodaiwa...