kaimu mkeyenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaimu Mkeyenge: Faida inayopatikana Bandarini ni ndogo, lazima tutafute watu wenye Misuli

    Kaimu Mkenyenge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa TASAC amesema Serikali imekuwa inawekeza fedha nyingi bandarini kila mwaka lakini faida inayopatikana ni ndogo. Amebainisha kuwa uchumi wa sasa wa kidunia unapaswa kushirikisha sekta binafsi, na lazima watu wenye uzoefu watafutwe ili wasaidie wakati...
  2. Bandari haziwezi kuendeshwa kimuungano

    Akijibu maswali ya wadau kuhusu suala la Bandari kuwa la Muungano lakini mkataba wa DPW ni wa Tanzania Bara, msemaji wa TASAC amesema suala la bandari haliwezi kuendeshwa kimuungano imeshashindikana Akijibu swali kwenye Clubhouse amesema, suala Zanzibar haihitaji uwekezaji kwa wakati huu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…