kajala

Kajala Masanja is an actress and film star in Tanzania. She celebrates her birthday on 22nd July each year. She won the 2016 EATV (East Africa Television) award for actress. She is married to former banker Faraji Chambo.She appeared in the 2012 film Kijiji Cha Tambua Haki with Steven Kanumba. She is the subject of industry gossip. She was at the funeral of Agnes Masogange in 2018.She was in Basilisa (2011) and Jeraha la Moyo (2012).The Daily Nation reported in November 2015 that she had fallen out with former friend Wema Sepetu.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhhh! Utofauti kati ya kutabasamu na kukenyua

    Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua. Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
  2. Je Denzel ndiye chanzo cha penzi la Harmonize na Kajala kuvunjika

    Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🀣🀣🀣🀣🀣 Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu . Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body trainer Denzel , na ndicho kipindi hicho hicho penzi lake na Kajala lilivunjika bila kutupa sababu ya...
  3. Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

    Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi . Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
  4. Hivi chanzo cha Kajala Masanja kupelekwa jela ilikuwaje

    k
  5. Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
  6. Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  7. Penzi la Harmonize na Kajala Limevunjika Rasmi

    Guys, msione Kajala anaandika magazeti hapo as if yeye ndo kamuacha Harmonize. It's the opposite, this time Harmonize ndio kamuacha Kajala... Just kuwapa short story ya event ya mwisho kabisa. Show ya mwisho ya Harmonize, Harmonize alikuwa anaongea na simu, yani very busy kwenye simu. Kajala...
  8. Je, unamfahamu Kajala Masanja?

    KAJALA MASANJA: KUZAMA KUZIMU NA KUIBUKA TENA KILELENI. Moja ya wanawake wanaopaswa kupigiwa mfano kwa aina ya maisha ya ajabu sana ambayo ameyapitia basi ni mwanadada Kajala Masanja. Misukosuko, changamoto, makosa aliyoyafanya na hatimaye leo hii kuweza kuibuka kuwa moja ya wanawake maarufu...
  9. Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang

    Maneno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village. Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu kuwa Kajala kwenye hayo mahusiano ana malengo yake, yakitimia basi anasepa zake, kichaka ni kuwa...
  10. Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

    Kunako mitaa ya Instagram Wasanii wameweka status tata katika akaunti zao. Harmonize ameweka haya πŸ‘‡πŸΎ Huku Kajala akiweka haya πŸ‘‡πŸΎ
  11. Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

    Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory. Ndoa njema.
  12. Kajala yupo tayari kubadilisha dini kwa sababu ya penzi la Harmonize

    Nimeiona hii nikaona isinipite nishee na wenzangu. Hivi, kama mtu atasaliti dini, kumsaliti binadamu mwenzake je? Full story
  13. Sijafurahishwa na kitendo cha Paula Kajala

    Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga. Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania. Naomba mamlaka husika zikomeshe tabia hii maana ni indicator tosha kuwa tupo kwenye mmomonyoko mkubwa wa maadili na...
  14. Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  15. R

    Wanaume igeni mfano kutoka kwa Harmonize

    Nyie Nyie Nyie, Ndo upate mwanaume akugande kama Rajab [emoji1787][emoji1787] Abadili jina kuwa Robert kwa ajili yako. Kuna watu wanapendwa jamani. Wanaume igeni mfano kutoka kwake.
  16. Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo. Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi...
  17. Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

    Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa πŸ˜‰ Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda 😍 leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja. Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa...
  18. Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  19. Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

    OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago. Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
  20. Kajala unblocks Harmonize, follows him back on Instagram

    Bongo Movie actress Frida Kajala has raised eyebrows among her 6 million followers after unblocking and even following back her ex-boyfriend Harmonize after months of begging for forgiveness. The Konde Music Worldwide CEO went public asking his fans to convince Kajala to unblock him on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…