Za leo ndugu zangu, natumai mko poa kabisa.
Kuna jambo limekuwa linanitatiza kwenye maisha yangu nalo ni chuki aliyonayo kaka yangu juu yangu.
Hili jambo nimekosa wa kumshirikisha ikabidi nililete hapa jukwaani kuna watu wanaweza kunisaidia.
Huyu kaka yangu kaanza zamani kunichukia toka...