Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh. Milioni 1, anadai mbona huko nje nawapa ila kiukweli sitoi nje pesa.
Mke ni muda sasa miezi kadhaa hana...