Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa.
Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na miaka 9 na mtoto wa kike alitokea upande wa mume na alikua na miaka 4. Hawajachangia damu ila wote...