kakobe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanisa lamuweka Askofu Kakobe kwenye maombi baada ya kutoonekana Kanisani kwake muda mrefu

    Pia soma: ~ Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2 ~ Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021
  2. M

    Bei ya Makabati Mwenge Njia ya kwa Kakobe kabla ya Lufungira

    Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
  3. Kakobe: TANESCO mwogopeni Mungu!

    http://www.youtube.com/watch?v=tPK7kXLgkH4
  4. B

    Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

  5. Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  6. Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021

    Umofia kwenu. Wakuu, hivi yupo wapi Askofu Mkuu Zakaria Kakobe? Hajaonekana Kanisani wala hakuna taarifa yoyote kumhusu kama yupo nje ya nchi tangu Desemba mwaka jana. Tetesi ni nyingi sana kumhusu. Soma pia - Askofu Zachary Kakobe yupo wapi? Hadi mwanae anadai hajamwona kwa miaka 2
  7. Mtoto wa Zachary Kakobe: Mfikishieni salamu baba yangu namtafuta, sijaonana naye kwa Miaka 20, nikienda Kanisani sipati nafasi ya kumuona

    Katika pitapita zangu mitandaoni, nimekutana na makala hii inayohusu mahojiano aliyoyafanya huyu jamaa anaitwa Frank ambaye anasema ni mtoto wa Mchungaji Zachary Kakobe, nimeona si vibaya nikishea hapa inawezekana kama ni kweli basi ujumbe umfikie kwa urahisi mtumishi kwa kuwa najua JF ni...
  8. #COVID19 Askofu Kakobe: Msidanganyike pateni chanjo

    Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
  9. #COVID19 Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
  10. Askofu Kakobe: Tulipomchagua Magufuli kuwa Rais; tulimchagua Rais mtarajiwa mhe.Samia kwa mujibu wa Katiba !

    YALIYOJIRI KONGAMANO LA WATUMISHI WA MUNGU KUMWOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA SIKU 100 ZA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MADARAKANI KUONGOZA NCHI YA TANZANIA Kongamano lilianzia kwa maneno ya salamu za viongozi mbalimbali wa dini sawa na kusudi la kongamanona sambamba na...
  11. Jumba la Kifahari la Askofu Kakobe

    Sema chochote.
  12. Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…