Leo asubuhi nimeamka na hamu ya BAGIA ZA IRINGA, hasa za KALENGA!, liliko fuvu la Chifu Mkwawa aliyekuwa kiongozi wa Wahehe aliyepinga ukoloni wa Kijerumani mwishoni mwa karne ya 19 kabla ya kujiua mwaka 1898 ili kuepuka kukamatwa.
Tuachane na ishu za historia maana isije ikawa ni chenga ya...
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione.
Bado haijafahamika kama...
Mlipokuwa mnaambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo haikuwa masihara, yale yalikuwa ni magunzi katikati ya betri za tochi.
Huko jimbo la Kalenga mbunge Kiswaga ametimiza ahadi yake ya kutoa Dustbins mbili (2) kwenye zahanati na baada ya tukio hilo la kihistoria, picha ya pamoja...
Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
Katika hli isiyo ya kawaida, harakati za kuwania kuliwakilisha Jimbo la Kalenga katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 zimeingia dosari baada ya watendaji mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukubali kununuliwa na Wagombea ambao wana ushawishi mkubwa kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.