Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika...