Mbunge wa Jimbo la kaliua Loyce Kwezi amendelea na ziara ya utatuzi wa kero za Wananchi Katika kijiji cha Kangeme Kata ya Zugimlole na amechangia shilingi milioni 5 kwa ajili ya upauaji wa Shule Shikizi. Akizungumza na Wananchi, Kwezi amewaeleza jinsi Serikali ya Awamu ya Sita Ilivyotoa fedha...