kamala vs trump

The 2020 presidential campaign of Kamala Harris, a United States senator from California from January 2017 to 2021, officially began on January 21, 2019, with an announcement on Good Morning America. Harris had widely been considered a "high profile" candidate for the 2020 Democratic Party presidential primaries since 2016.
Citing a lack of funds, Harris officially withdrew her candidacy on December 3, 2019.
On March 8, 2020, Harris endorsed former vice president Joe Biden. Harris was chosen by Biden to be his running mate on August 11, 2020. Biden and Harris won the general election, and she became the first female vice president of the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    Uchaguzi wa Marekani ndiyo huamua hatima ya Dunia

    Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani. Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile linalotaka Donald Trump ashinde na kundi jingine linalotamani Kamala Harris ashinde. Pande zote mbili...
  2. M

    List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

    Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa kufanyika tarehe 5 November 2024. Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
  3. Mindyou

    Shambulio la risasi laitikisa Ofisi ya Kampeni ya Kamala Harris huko Arizona. Polisi watoa tamko!

    Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
  4. GENTAMYCINE

    Mdahalo wa Dunia kati ya Harris na Trump: Muda kamili kwa saa za Afrika Mashariki huu hapa

    Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu. Haya mtaarifu na Mwenzako kuhusiana na huo muda na wale Wenzangu tusiojua Kiingereza tuhakikishe Kamusi za TUKI hazikai...
  5. Mindyou

    Kwa upepo unavyoenda, kuna dalili zote Donald Trump kuswekwa jela kama hatoshinda uchaguzi

    Habari zenu wanabodi, Kwa namna siasa za marekani zinaendelea ni dhahiri shahiri kuwa Trump ana mengi sana ya kupoteza iwapo atashindwa kuingia pale White House mwaka kesho. Siku ya Ijumaa, Jaji kutoka jimbo la New York alitangaza kuahirisha kutoa hukumu kwa Donald Trump. Jaji Merchant...
  6. ward41

    Trump sijui atatoboa, Kura za Maoni zinamkataa

    Safari ya Donald Trump kuelekea White House bado ngumu Bado Republican Walikosea kumsimamisha Trump. Alikutana tu na weak opponent Joe Biden. Sasa anapambana na mtu mwenye misuli ya Kisiasa na Mwanasheria. Ni ngumu Sana Kutoboa
  7. Mindyou

    Donald Trump: We hata kama hunipendi, nipigie tu kura

    Uwanja wa siasa nchini Marekani umezidi kuchangamka na hii ni baada ya mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, hivi karibuni kusema kuwa hata kama humpendi yeye kama yeye ni muhimu sana kumpigia kura. Trump aliyasema hayo kwenye jimbo la Pennsylvania huko nchini Marekani akiwa kwenye...
  8. G

    Poll: Trump kamgaragaza Kamala Harris kwa 78% kwa zaidi ya kura milioni 1 huko X (Twitter)

    Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74 Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
  9. Mag3

    Uchaguzi USA 2024: Kamala hana mpinzani na atashinda asubuhi!

    Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa. Trump wannabe dictator ambaye ndoto yake ni kuitawala USA kwa mkono wa chuma kama Putin nchini Urusi, Kamala Harris...
  10. D

    Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

    Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald Trump ameshinda jimbo la Pennyslavania, jimbo ambalo kwenye chaguzi nyingi huamua nani atakuwa Rais...
Back
Top Bottom