kamanda sirro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ophonso

    Ukisikiliza mahubiri ya hii video Kamanda Sirro alikuwa sahihi kabisa malezi ya Hamza

  2. Buza Kwa Mpalange

    Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo. Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza. 1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini 2. Hakina umeme 3. Hakina maji mahabusu sijui...
  3. mugah di matheo

    Mchezaji Gerald Mdamu inadaiwa kutelekezwa na Polisi Tanzania baada ya kupata ajali; Ni aibu Tafadhali IGP ingilia kati

    Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
  4. Shujaa Mwendazake

    #COVID19 Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

    Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi, kwani si jambo geni humu na litaunganisha uzi na nyuzi zingine kama hizo. Mods Nakimbilia moja kwa moja...
  5. B

    La Mwanza: Kwenu Mama Samia na Kamanda Sirro

    Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza: basi mnakoipeleka hii nchi siko. Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka kuirekebisha hali hii bila kuchelewa na kuwachukulia hatua wote wanaohusika, kama nyie siyo sehemu ya...
  6. Shujaa Mwendazake

    Bado tunajiuliza nani alitudanganya kati ya Kamanda Sirro na Mwigulu Nchemba?

    Wakati Tundu Lissu kabla hajashambuliwa kwa risasi alikuwa analalamika kuwa kuna gari inamfuatilia. Sisi ambao siyo wanaintelijensia tulikaaa kimya kusubiri majibu ya wataalam na viongozi. Na haya yalinenwa na wakuu wetu: Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba...
  7. Buza Kwa Mpalange

    Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  8. Q

    Mabadiliko Jeshi la Polisi: IGP Sirro ampeleka Kamanda Mambosasa Dodoma, Wambura amrithi kanda maalum Dar

    SACP CAMILIUS WAMBURA KAMANDA KANDA MAALUM DSM === INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya viongozi ndani ya Jeshi la Polisi ambapo amemhamishia Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa kutoka kuwa kamanda wa polisi Kanda...
  9. Erythrocyte

    Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule...
Back
Top Bottom