kamanda wa polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitimoto

    RPC Arusha Anatosha Kwenye Nafasi Aliyonayo ya Kamanda wa Polisi?

    John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi! https://x.com/tanpol/status/1889867546050039931?t=oqQZKG55TfluM2K6FrYdqg&s=19 Sikiliza mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wakitoa...
  2. Mkalukungone mwamba

    Polisi Mkoa wa Njombe: Ukiachwa Valentine Day usijiue ni kosa kisheria

    Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine...
  3. Roving Journalist

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kuzaga asheherekea Krismasi na watoto wenye Mahitaji Maalum

    Jamii yatakiwa kutimiza wajibu wake kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu Hayo yamezungumzwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga Desemba 25, 2024 alipotembelea Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha...
  4. Mindyou

    LGE2024 Mkuu Wa Polisi Singida: Waandishi tumieni kalamu zenu vizuri katika kipindi hiki cha Uchaguzi

    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, ACP Amon Kakwale, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kama nyenzo ya kuimarisha mshikamano wa Watanzania badala ya kuleta mgawanyiko. Akizungumza katika mkutano mkuu wa mwaka wa waandishi wa habari mkoani Singida, Kamanda Kakwale alisisitiza...
  5. Mindyou

    Kamanda Muliro adai Sativa alisema mwenyewe kuwa alitekwa na washkaji

    Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, Jumanne Muliro, hivi karibuni akiwa anazungumza na Chief Odemba kwenye tukio maalum lililoandaliwa na TLS amezungumzia kwa uchache kuhusu sakata la kutekwa kwa Sativa. Soma pia: Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata...
  6. Mkalukungone mwamba

    Arusha: Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauwaji watuma meseji

    Mwili wa Mfanyabiashara wa madini ya ujenzi, David Mollel mkazi wa Kata ya Moivaro, umekutwa ukining’inia kwenye mti juu ya Mlima Oldonyowas, jirani na eneo linalotumika kwa maombi. Inadaiwa Mollel mwenye umri wa kati ya miaka 50 na 55, aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Jumanne...
  7. Stephano Mgendanyi

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.

    Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara. Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
  8. Sildenafil Citrate

    IGP Camillus Wambura afanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar. Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa...
  9. Roving Journalist

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  10. Roving Journalist

    Zaidi ya Bilioni 1.4 yajenga Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Sagini atoa neno

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara katika eneo la Manispaa ya Musoma wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4. Akizungumza baada ya kukagua wa Mradi huo, Sagini...
  11. BARD AI

    TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
  12. Nyendo

    Kamanda Muliro: Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano

    Maandamano yakifanyika hayajifichi, huwezi kuwa mtu mmoja unatembea ukasema nimefanya maandamano, nadhani hata kwenye kamusi ukitafuta neno maandamano unaweza ukaelewa maana yake ni nini, usalama uliimarishwa kiwango ambacho kiliruhusu watu kufanya shughuli zao. "Tulimjibu mhusika na tukampa...
Back
Top Bottom