Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, ACP Marco Chilya amesema kupitia Operesheni iliyofanyika hivi karibuni Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu (3) wote wakazi wa Dar-es- Salaam wakiwa na jumla ya simu 79 ambazo waliziiba katika Tamasha la Wasafi Festival lilifonyika Songea...