Taarifa iliyotolewa na jeshi hilo limesema, Abu Ali Rida, kamanda wa Hezbollah kwenye eneo la Baraachit, kusini mwa Lebanon "ameuawa" katika shambulizi la anga.
Jeshi la Israel limesema Rida alikuwa akiongoza shughuli za kigaidi ikiwa ni pamoja na kupanga mashambulizi yaliyowalenga wanajeshi na...