Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.
Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22...