Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane.
Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza.
Haya kazi kwenu, kuliko kuzeeka mwenye, nenda pale maeneo ya stendi, kamata wako, anza kumkarabati jinsi wewe...