Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Morogoro kimewataka wanachama wa chama hicho pamoja na watia nia katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu kuacha kujishughulisha na kampeni za uchonganishi ambazo tayari baadhi ya watu wamedaiwa kuanza kupita mtaani kuomba kura badala yake...