kamati kuu ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  2. Tlaatlaah

    Napendekeza mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu baina ya Kamati Kuu ya CCM dhidi ya Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao 2025

    Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ... Na kwakua itakuwa kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na...
  3. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Dkt. Mwinyi ashiriki Kamati Kuu ya CCM

    DKT. MWINYI ASHIRIKI KAMATI KUU YA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. Ojuolegbha

    Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo...
  5. L

    Rais Samia kuongoza Vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa June 29-30

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, ataongoza vikao vya Kamati kuu na Halmshauri kuu ya CCM Taifa Tarehe 29 na 30...
  6. S

    Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

    Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari. Pia soma...
  7. S

    Nini tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu Bandari

    Wana Bodi, Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa...
  8. M

    Kamati Kuu ya CCM vs Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kuna mjadala mpana nimeukuta mahali kuhusu mgawanyo wa nafasi za Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama umezingatia umoja wa kitaifa bila ubaguzi wa dini, jinsia, kanda na makabila. Kwa upande wa CCM...
  9. Ojuolegbha

    Rais Mwinyi aondoka Zanzibar kuhudhuria vikao vya Kamati Kuu ya CCM jijini Dodoma

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali, akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, ameondoka Zanzibar kuelekea Dodoma kuhudhuria vikao vya kawaida vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa vya...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

    Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
  11. Poppy Hatonn

    Napinga Makongoro Nyerere kuondolewa katika Kamati Kuu ya CCM

    Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira. Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress. Nashangaa kabisa kwamba Makongoro...
  12. Erythrocyte

    Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

    Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile...
  13. B

    Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chakamilika Dodoma

    Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma. #ChamaImara #KaziIendelee
  14. B

    Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
  15. K

    Ni wazi kamati kuu ya CCM ilikaa kwa dharura kujadili kauli ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    Kauli aliyotoa Makamu wa kwanza wa Rais alipokuwa Pemba ilikuwa kauli nzito iliyoashiria kuvunjika kwa mashirikiano yaliyopo. Kauli ile ilieleza wazi dhamira yake ya kutoendelea na madaraka kwenye kundi la watu wasioridhika na ambao hawana uchungu na watu kufa, kuwa vilema nk. Alihoji watu...
  16. Baraka Mina

    Dodoma: Shaka Hamdu Shaka kuzungumza na Vyombo vya Habari leo Juni 22, 2021

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka atazungumza na vyombo vya habari siku ya leo tarehe 22/06/2021 katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi jijini Dodoma. Ikumbukwe kwamba mchana wa leo Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
Back
Top Bottom