kamati kuu ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kamati kuu ya CHADEMA ni nyepesi mno kisiasa, inategemea huruma tu za wanachama wake kujiendesha

    Ukitazama wajumbe wake na historia zao binafsi kisiasa, ukiwachakata na kuwatathimini kwa kina, utabaini jinsi walivyo wepesi kama karatasi kwenye medani za kisiasa, kwa maana ya kutokua na ushawishi kabisa ndani na nje ya chama hicho. Wote wanaishi na kufanya siasa kwa kutegemea huruma za...
  2. Erythrocyte

    CHADEMA yaendesha Mafunzo kwa Viongozi wake, Profesa Mussa Assad awa Mkufunzi Mkuu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba CHADEMA imefungua Mafunzo kwa lengo la kuwapiga Msasa viongozi wake Miongoni mwa Wakufunzi yumo CAG Mstaafu Alhaj Mussa Assad, Wakufunzi wengine ni Tundu Lissu na Dr Philbhert Kumu ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  3. figganigga

    Pre GE2025 Picha: Hii ndiyo Kamati Kuu ya CHADEMA. Kikao kinaendelea

    Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu. Kikao hiki kinafanyikia Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar Es Salaam Hatimaye Ezekiah Wenje...
  4. D

    Nashauri Yericko nyerere asiwe mjumbe kamati kuu ya CHADEMA, abakie mwanachama wa kawaida kwasababu hana vigezo

    Katika kuweka chama katika heshima na ubora hatuezi kupuuzia busara za wajumbe. Wajumbe ni jicho la wanachama! Wanachama hatuwezi kuendelea kuwakilishwa na walemavu wa ubongo mkutano mkuu wa maamuzi! Sipo hapa kuhoji Yericko Nyerere aliupataje ujumbe wa mkutano mkuu lakini nashauri huyo...
  5. Erythrocyte

    Pre GE2025 Rose Mayemba ajitosa kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, nitampigia kampeni

    Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amejitokeza kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama. Hakuna asiyefahamu uwezo wa Dada huyu kwenye uongozi, na inashangaza kwanini hadi leo hakuwa Mjumbe wa Kamati Kuu. Namtakia Kila la heri. Labda kwa faida ya WanaJF na wengine kote...
  6. M

    Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  7. Yoda

    Mchungaji Msigwa kada wa CCM anapata wapi nyaraka za maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA?

    Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
  8. The Watchman

    LGE2024 Maazimio ya mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo; 1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi. 2. Kamati Kuu inalaani mauaji...
  9. Q

    Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  10. mwanamwana

    Pre GE2025 Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana kufanya mkutano kwa siku 2. Itajadili hali ya usalama nchini

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili. Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea; 1. Taarifa ya hali ya usalama nchini. 2. Kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za...
  11. Tlaatlaah

    Napendekeza mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu baina ya Kamati Kuu ya CCM dhidi ya Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao 2025

    Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ... Na kwakua itakuwa kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na...
  12. Erythrocyte

    Siri kuu yaghubika Vikao vya Kamati kuu ya Chadema, Wananchi wapagawa, wataka Majina yatangazwe

    Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia. Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
  13. Erythrocyte

    Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
  14. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam. Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine...
  15. Nanyaro Ephata

    Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  16. K

    Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

    Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini. Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na...
Back
Top Bottom