kamati ya kudumu ya bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge yapongeza ujenzi wa jengo la wizara ya nishati - Mtumba

    📌Ujenzi wafikia 94% Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Michezo amshukuru Rais Samia kwa "kutoa" fedha na kuinua na michezo nchini

    Wakuu, Hivi wabunge wa CCM wanaposema Rais "ametoa" fedha wanamaanisha? Kwamba zimetoka mfukoni kwake na sio kodi za wananchi? Au yeye ndo anaidhinisha kutolewa kwa hizo fedha? Na kama Rais ndo anapitisha fedha za maendeleo, kazi ya hao wabunge inakuwa ni nin sasa? ========================...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yahimiza Maslahi ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeiomba serikali kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi na kuwalipa stahiki zao, hususan kwa watumishi wapya, ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Justin Lazaro Nyamoga ametoa kauli hiyo wakati wa ziara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imehitimisha ziara muhimu nchini Comoro

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imehitimisha ziara muhimu nchini Comoro kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu juu ya mifumo bora ya ushirikishaji wa Diaspora katika maendeleo ya taifa. Katika ziara hiyo, Kamati ilikutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa ushuru wa Tsh. 382 kwenye gesi asilia ya magari

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza amesema Serikali imekubali mapendekezo ya wabunge ya kuondoa ushuru ya Sh382 kwenye gesi inayotumika katika magari. Amesema hayo leo Juni 27,2024 wakati akiwasilisha maoni ya kamati yake kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha ya Mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…