Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi.
Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu gani?
Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki.
Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji Msigwa na ndiye aliyeshika chupa ya damu toka Dodoma hadi Nairobi, basi CCM impe jukumu mchungaji...
Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum.
Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD.
Ameenda mbali na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.