kamati ya olimpiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kufutwa kwa Mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania ( TOC)

    Katiba ya mchongo imemlazimu Msajili kufuta uchaguzi wa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC).
  2. TOC kufanya uchaguzi Disemba 14, Filbert Bayi Kugombea tena

    Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo. Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili...
  3. DOKEZO Kashfa kubwa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), waziri pitisha fagio la chuma

    Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki...
  4. Kamati ya Olimpiki wanalamba asali

    Hii Kamati wanalamba asali mwanzo - mwisho ila hamna Medali kwa Miaka 40 sasa. Tandau tunakulilia.
  5. Chama cha riadha (AT), kamati ya olimpiki (TOC) na CCM tafadhali someni huu uzi

    Baada ya comments zangu kadhaa mitandaoni kuhusu michezo ya olimpiki nimepokea messages nyingi sana zikinisihi niandike uzi kuhusu mchezo wa riadha na nini kifanyike ili twende mbele. Baada ya tafakuri ya kina nimeona niandike huu uzi kwa maslahi mapana ya taifa. Kama kawaida maoni yangu kuhusu...
  6. Kamati ya Olimpiki Yasusia Jezi za Shirikisho la Riadha ~ RT

    Kutoka kushoto ni Gabriel Gerald Geay, Jackline Juma Sakilu , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Shauri wakifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwenda Kwenye mashindano ya Olimpiki Huko Paris, Ufaransa. Jezi zilizotolewa na kampuni ya Xtep iliyopo China ili Timu zinazokwenda Olimpiki zivae ( Xtep...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…