Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
===...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Ndugu Zainab Mwamwindi hivi leo Februari 15 ameongoza kikao maalum cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la UWT Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ofisi za UWT Mkoa wa Iringa.
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais, Serikali za Mitaa na Utawala Bora (OR-TAMISEMI), imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 kwa Shule za Sekondari kuanzia Januari 2025.
Kwenye makaratasi, sera hii ni nzuri kwani imelenga kukuza vipaji na...
MWENYEKITI KAWAIDA(MCC) AONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Ameongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji Maka makuu ya UVCCM Dodoma, tarehe 16 Septemba...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameongoza kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa tarehe 05 Julai, 2024 Ofisi Ndogo za Makao Makuu Upanga Jijini Dar es salaam.
#TunaendeleaNaMama
#Kaziiendelee...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda, tarehe 04 Julai 2024 ameongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT Taifa kilichofanyika katika ofisi ndogo za CCM lumumba jijini Dar es Salaam.
🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA
📍Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), wameshiriki semina ya masuala ya Sera ya jinsia. Leo Tarehe 19 Februari, 2024.
Semina...
KIKAO CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM TAIFA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohamed Ali Kawaida (MCC) @comrade_kawaida Kuongoza Kikao cha Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa Kitakachofanyika Tarehe 25 Juni, 2023 Makao Makuu ya UVCCM Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.