Hizi kamati za bunge ambazo zimekuwa zikiita na kuhoji watu kama CAG Assad, Pascal Mayalla , Mpina na wengine wengi ni vyema sasa zikawa zinarusha live mahojiano hayo kama ambavyo inafanyika kwenye vikao vya bunge.
Demokrasia halisi duniani ndivyo ambavyo zinafanya kazi zake kwa sasa, huko...
Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati.
Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa...
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 4, 2022, Bungeni...
CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea.
Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameziagiza kamati za kudumu za Bunge, ziache kufanya kazi kwa mazoea na kubweteka, zikiamini muda bado upo, hali inayoweza kusababisha zimalize miaka mitano bila kufanya lolote kusaidia na kuishari serikali kwa manufaa ya taifa.
Ndugai alitoa agizo hilo bungeni jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.