Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameziagiza kamati za kudumu za Bunge, ziache kufanya kazi kwa mazoea na kubweteka, zikiamini muda bado upo, hali inayoweza kusababisha zimalize miaka mitano bila kufanya lolote kusaidia na kuishari serikali kwa manufaa ya taifa.
Ndugai alitoa agizo hilo bungeni jana...